#

KOMMTRACE

Suluhisho la kwanza duniani nzima lenye mafanikio ya Kufuatilia Walioathirika kwa njia ya Kidijitali.

Toa tu lebo za KOMMTRACE ili kutoa ufuatiliaji wa walioathirika wa upesi na sahihi kwa asilimia mia ya wananchi.

Kommtrace

SARS-CoV-2 itaendelea kuwapo!

Tunahitaji Kupata njia ya kufungua na kuendelea na kazi, bila kulazimika kurudi katika kipindi kingine cha kujifungia manyumbani mwetu.

#

Kupimwa ni bei ghali

Upimaji wa kiasi kikubwa ni muhimu ili kugundua kwa upesi, kutenga, na kutibu walioathirika.

Nchi zinatumia mamilioni ya madola kila siku, lakini hazifanikiwi kudhibiti virusi hivi.

#

Vipimo haviambatani na hali halisi

Wakati asimilia tano tu ya vipimo ndio inayorudi chanya, je tunapima watu wasiofaa?

Pesa hizi zingekuwa bora zikitumika kulenga wanaopimwa kwa usahihi zaidi.

#

Apu hazifanyi kazi

Apu za kufuatilia walioathirika zimefeli nchi baada ya nchi.

Wengi wa watu duniani bado hutumia simu msingi za rununu, Apu ya simu za kisasa haiwezi kabisa kuwa suluhisho.

#

Ufuatiliaji wa kibinadamu hauna mafanikio

Ufuatiliaji wa waathiriwa kibinadamu:

  • Unahitaji rasilimali kubwa
  • Unachosha
  • Ghali
  • Si sahihi
  • Hauna mafanikio

Rahisi kama kuvaa barakoa

Kama kuvaa tu barakoa, unavaa lebo ya KOMMTRACE kila mara unapotoka nje na kuitoa unaporudi nyumbani; lebo hii inaweza kutakaswa pia.

INAPOWASHWA, lebo ya KOMMTRACE itafanya kazi kwa hadi miaka mitatu bila kuhitaji kuchajiwa, KUWASHWA au KUZIMWA.

Lebo ya KOMMTRACE hufanya kazi vizuri kila mahali - vijijini na mijini, na haihitaji miundombinu ya ziada.

Rahisi sana

As simple as wearing a mask
No Charging

Bila

Malipo

No Charging

Hakuna

Wi-Fi

No Charging

Hakuna

SIM

No Charging

Hakuna

mtandao

No Charging

Hakuna

GPS

No Charging

Hakuna

simu za kisasa

Ufuatiliaji wa kibinadamu hukosa kugundua wengi wa waathiriwa

Ufuatiliaji wa waathiriwa kibinadamu hauwezi kupata watu ambao unaweza kuwa ulikutana nao, lakini hauwajui kibinafsi.

Kwa mfano, ikiwa uliondoka nyumbani wiki hii kuenda kwenye duka, benki, au kununua chakula cha mchana, je unaweza kufikia kila mtu aliyekuwa kwenye basi, foleni ya benki, au hata aliyekuwa katika meza iliyokuwa kando yako wakati wa chakula cha mchana?

Ikiwa jibu lako ni "hapana", basi unafahamu ni kwa nini ufuatiliaji wa waathiriwa kibinadamu unahitaji sana sasisho.

Manual contact tracing misses most contacts

Jinsi inavyofanya kazi

#

Kila mtu anapata lebo ya KOMMTRACE

Kila lebo ya KOMMTRACE ina kitambulishi kisichotaja jina. Wakati lebo mbili zimekaribiana, zinahifadhi kitambulishi cha kila mmoja.

Kwa sababu imeundwa kuhakikisha faragha,taarifa zote zinahifadhiwa kwenye lebo ya KOMMTRACE na hazitumwi popote. Hakuna uwezo wa kurekodi taarifa au eneo binafsi.

#

Ufuatiliaji wa Waathiriwa Haraka

Mtu anapopimwa na kupatika ameambukizwa virusi, viongozi wataomba lebo ya KOMMTRACE na kufichua vitambulishi vilivyohifadhiwa.

Mfumo wa KOMMTRACE utajulisha waathiriwa watarajiwa wote kupitia UJUMBE MFUPI wawe waangalifu kuhusu ishara, wajitenge, au waje wakapimwe.

#

KOMMTRACE inaokoa maisha

Wakati COVID-19 inajulikana mapema na kutibiwa haraka iwezekanavyo, matumaini ya kupona yanaongezeka.

KOMMTRACE inaweza kuokoa maisha, kupunguza gharama ya matibabu, kuzuia mfumo wa matibabu kulemewa na kazi na kutusaidia turudi katika kazi zetu za kawaida!

Umependezwa? Wasiliana nasi

Mimi sio roboti       =